Ratiba ya mtihani darasa la saba 2019, Let us prepare our pupils
![]() |
Ratiba ya mtihani darasa la saba 2019 |
It is another year searching for Ratiba ya mtihani darasa la saba 2019, We need to prepaire our kids well. Mwalimu wafundishe watoto kwa upendo wa hali ya juu watakuja kukukumbuka siku za utu uzima wao. Tunatambua sana kuwa walimu mna kazi nzito vumilieni, Bila mwalimu hakuna daktari. Bila mwalimu hakuna mwandishi wa blog kama hii. Najivunia kuandika blog kwakua mwalimu alinitoa makamasi nikiwa darasa la awali au chekechea, Je umeshawahi kumkumbuka mwalimu aliyekufundisha chekechea au unamkumbuka profesa wa chuo tu. Bila mwalimu wa darasa la kwanza hamuna profesa. Kumbe mwalimu wa chekechea alitakiwa alipwe mshahara mkubwa kuliko profesa wa chuo kikuu, haya ni mawazo yangu, Unaweza changia mawazo yako kwenye komenti hapo chini karibu let us debate, education is very important to out children.
You need to know the Ratiba ya mtihani darasa la saba 2019, yes it will be released by the necta website kkkkkk You might need to know ratiba ya mtihani wa darasa la saba 2018 how it was read here https://www.necta.go.tz/files/DARASA%20LA%207%202018.pdf
Also matokeo ya darasa la saba 2018
Waiting for matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2019, mitihani ya darasa la saba pdf , ratiba ya mtihani wa taifa darasa la saba 2019,matokeo darasa la saba 2019,necta darasa la saba 2019,matokeo ya darasa la saba 2019 Tank you for reading my post Ratiba ya mtihani darasa la saba 2019
0 comments: